Utake usitake lazima utapenda mchungaji huyu awe mpenzi wako!

Utake usitake lazima utapenda mchungaji huyu awe mpenzi wako!

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
Hebu ianze jumapili yako kwa tafakari hii ya kuvunja mbavu.
 

Attachments

  • Makubwa haya!.jpg
    Makubwa haya!.jpg
    25.4 KB · Views: 298
Ngoja nilete bakora yangu naona kuna mtu hapa ana utani na lugha za watu
 
Kaka habari za Jumapili....................................
 
Kaka habari za Jumapili....................................

Nzuri ila nna kesi na wewe, iweje uende kwa Mama Ngina bila kuniambia, ningejua si ningesubiri walau hata siku moja ili hayo manyama ya mbusi tule wote!

najua nnalo la kujibu kwako pia, maana niliingia mji wa wenyewe bila kuipiga hodi, ila najua umenisamehe, si unajua joto na foleni inapofika muda wa jioni!
 
Hili nalo ni somo!...ingekuwa vipi kama huyo bwana angeshika kitabu kitukufu 'kilichoshuka' toka mbinguni...si kazi kesho yangekuwa maandamano ya kumtetea/kumpigania Mungu...
 
Hapa ata nyota zikidondoka aziwezi dondokea dunia.
 
Back
Top Bottom