Nzuri ila nna kesi na wewe, iweje uende kwa Mama Ngina bila kuniambia, ningejua si ningesubiri walau hata siku moja ili hayo manyama ya mbusi tule wote!
najua nnalo la kujibu kwako pia, maana niliingia mji wa wenyewe bila kuipiga hodi, ila najua umenisamehe, si unajua joto na foleni inapofika muda wa jioni!
Hili nalo ni somo!...ingekuwa vipi kama huyo bwana angeshika kitabu kitukufu 'kilichoshuka' toka mbinguni...si kazi kesho yangekuwa maandamano ya kumtetea/kumpigania Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.