Utakiona cha mtema kuni!, Kama ni hadithi , ilikuwa kwenye kitabu gani? Mtunzi alikuwa nani...na mengineyo....

Nilivamia hii Thread , nikidhani unaulizia "Ukuni" ! Kumbe "Mtema kuni"
Hii siifahamu, niwaachie watu wa Mrima, naimani watakutosheleza.
Nipe basi hata hicho kisa cha "ukuni"
 
Kutema ni kukata kwa kibantu
kuni hapa jiongeze, kuni kuu ulimwenguni

zamani wanamme ndo walihesabiwa peke yao. Sasa Mzee X aliiba mke wa mfalme. Akatemwa kuni.

We ni kiboko...

Na nakutunuku title leo hii hii...
 
mtema kuni alijifanya kipanga sana wakutema kuni, hasa akiona watu ndo misifa ya kutema kuni inaongezeka mwisho badala ya kutema kuni akajitema mkono kwa misifa.
 
Ha ha haah!! Kumbe jamaa alikuwa na "misifa"?
 
Mtema kuni alikuwa anatabia ya kukata kuni siku ya j'pili sasa Mungu akaghadhabika na tabia yake, basi akaamua kumtundika kwenye mwezi ndio maana ukiangalia vizuri mwezi unaona kama kuna mwanaume anakata kuni
 
Dah! Hapa tutapata maana nyingi sana....
 
huyu mzee ukuni ulikatwa akabaki mwanamme shati.
Haku-qualify hata kuwa mwanamme suruali.

Ndo maana ukionywa halafu husikii wanakuambia utakiona cha mtema kuni. Huyu mzee alionywa ila hakusikia.

Nachoka kuandika kirefu.

Kwa nini aitwe mwanaume suruali asiitwe mwanaume kaptula?
 
Mtema kuni alikuwa anatabia ya kukata kuni siku ya j'pili sasa Mungu akaghadhabika na tabia yake, basi akaamua kumtundika kwenye mwezi ndio maana ukiangalia vizuri mwezi unaona kama kuna mwanaume anakata kuni
Hahaha! Ngoja nitoke nje nikatizame mwezi... Nimependa tafsiri yako!

Afu nakutafuta ujibu mashitaka yako!
 
Back
Top Bottom