Uchaguzi 2020 Utakipigia chama gani kura kutokana na kaulimbiu zao?

Nawaombeni maoni yenu baada ya CHADEMA kuingia kwenye kaburi viongozi wake walilichimba wenyewe
Kama kweli kaburi lipo limechimba na CCM pamoja na serekali yake.

Baada ya kuiba na kuvuruga uchaguzi, rudisheni mitandao mloifungia basi.
 
Unashangilia UNYANG'AU ??!
Kwani huo ushindi wa ccm Ni halali?!
Mnachoweza kufanya sasa ni kupindua uongozi kwenye kambi ya upinzani ili kuweka viongozi wenye mtazamo mpana wa kitaifa kuliko ubinafsi. Sera ya Uhuru na Haki kimsingi ni nia ovu ya viongozi kuwatumia wapiga kura kuwaingiza madarakani. Ushahidi ni matumizi mabaya ya ruzuku na fedha ya jimbo la mbunge
 
Pumba
 
Ndiyo wenye mtazamo mpana wa kudhibiti kura za maruhani??...
  • tangiapo wapiga kura huwaingiza madarakani viongozi wao kwa kura halali. Na haina inabidi milango ya kuwaondoa wanaposhindwa kufanya walotumwa isifungwe.
  • Report za sieijii yule msiyemtaka mzee Assadi, zasemaje kuhusu matumizi yao.
 
Matumizi ya ccm ya kununua binadamu, yaani wabunge na madiwani wa upinzani ni mazuri??!
Kwa kuwa CCM imenunua binadamu kunahalalisha viongozi wa chama kinachotaka kuingia Ikulu wafisadi mali ya chama? Hoja gani hiyo!!!
 
Ndiyo wenye mtazamo mpana wa kudhibiti kura za maruhani??...
  • tangiapo wapiga kura huwaingiza madarakani viongozi wao kwa kura halali. Na haina inabidi milango ya kuwaondoa wanaposhindwa kufanya walotumwa isifungwe.
  • Report za sieijii yule msiyemtaka mzee Assadi, zasemaje kuhusu matumizi yao.
Ili viongozi unaowashabikia waaminike ni budi wawe mfano. Hoja za wale wamefanya vile hakuhalalishi hao wafanye hivyo
 
Back
Top Bottom