Utakubali Mungu afute kifo lakini maisha yako na cheo kibaki hivyo hivyo

Utakubali Mungu afute kifo lakini maisha yako na cheo kibaki hivyo hivyo

Mpondoshilla

Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
36
Reaction score
132
Ikitokea Mungu anakuuliza afute kifo au kiendelee tu kuwepo utamshauri nini
Mimi namwambia kiendelee tu ili tuheshimiane
 
Ndoto za alinacha

Amka kumekucha mkuu ujiandae uende kibaruani.
 
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, uliona kamuuliza nani?

Kiukweli mimi hapa nilipo panatosha japo siyo pazuri financially ila fresh tu kuliko hilo ulilosema
 
Maswali ya watoto haya, itakuwa vyuo vimefungwa sio bure.
 
Back
Top Bottom