Wawilaya
Member
- Dec 4, 2013
- 85
- 56
Kuhama kwa IBRAHIM MAESTRO kuhamia EF sport itakuwa nipengo kubwa sana clouds fm katika kipindi cha michezo
Maestro alikuwa mchambuzi Wa michezo katika Redio Na TV clouds ambae alifanya kazikubwa sana, walikuwa wakishirikiana vyema na watangazaji wengi kama vile Shaff Dauda and ext
Lakini ukweli utabaki palepale jamaa anajua kuchambua michezo
Umejiunga redio ambayo haisikiki mikoani ni kwa Dar tu peke ake utapoteza baadhi ya mashabiki zako walio kuwa wana Ku foll Na kukupa big up ya utendaji wako wa kazi