Utakumbukwa Sports Xtra Maestro

Utakumbukwa Sports Xtra Maestro

Wawilaya

Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
85
Reaction score
56
Kuhama kwa IBRAHIM MAESTRO kuhamia EF sport itakuwa nipengo kubwa sana clouds fm katika kipindi cha michezo
Maestro alikuwa mchambuzi Wa michezo katika Redio Na TV clouds ambae alifanya kazikubwa sana, walikuwa wakishirikiana vyema na watangazaji wengi kama vile Shaff Dauda and ext

Lakini ukweli utabaki palepale jamaa anajua kuchambua michezo
Umejiunga redio ambayo haisikiki mikoani ni kwa Dar tu peke ake utapoteza baadhi ya mashabiki zako walio kuwa wana Ku foll Na kukupa big up ya utendaji wako wa kazi
 
Amefanya la maana sana kuhama kwa sababu siku clouds fm ni media ya wapumbavuuu.
 
Jamaa wanatoa mpunga mrefu sana, kina Kitenge na Katanga ndo mana walihama radio one.
 
Ndani ya mda mfupi e fm itawaondoa sokoni hao wapumbavu cloudsssss
 
Aende zake tu bwana.Shabiki la simba hilo uchambuzi wake siupendi.Bora sasa nitaangalia sport bar.
 
Duuuh! Kumbe kaondoka! Hapo clouds wanazidi kupoteza majembe maana kipindi cha sport xtra ndo kipindi kinachofuatiliwa zaidi. Kuna Jeffy leah na Alex Lwambano siwasikii nao siku hizi sijui wameama?
 
vipi kuhusu uchambuzi wa shaffih dauda, anapokua kajiachia katka zile sofa za baa ya michezo?
 
Ah,naye ndio walewale tu.Bora hata niangalie uchambuzi wa Oscar Oscar EATV kwenye kabumbu show.
 
Aende zake tu bwana.Shabiki la simba hilo uchambuzi wake siupendi.Bora sasa nitaangalia sport bar.

Clouds wote ni simba hasa Shaffih Dauda ukitaka habari fresh za yanga sikiriza efm na radio one.
 
Duuuh! Kumbe kaondoka! Hapo clouds wanazidi kupoteza majembe maana kipindi cha sport xtra ndo kipindi kinachofuatiliwa zaidi. Kuna Jeffy leah na Alex Lwambano siwasikii nao siku hizi sijui wameama?

Jeff Leah yupo Azam Tv, anakuwapo alasiri lounge na sports at 8, kijana huyu anajitahidi sana! Yeye si soka tu, ana-cover michezo yote, na kikubwa zaidi, kwenye alasiri lounge si sports tu, ni kila kitu na anafunika kuliko yule host wake!! Anajua kuchambua hata habari zisizo za michezo! Jeff Leah bado kijana mdogo, angeomba kazi BBC swahili, watangazaji wa BBC ni versatile kama yeye! Mwanzoni wakati namuangalia Clouds, alikuwa ananiudhi kuchanganya lugha sana, ila huwa ana-act maana kwenye alasiri lounge hachanganyi lugha, ni Kiswahili tu tena fasaha.
Sasa kwa Luambano na Shaffih, kama hawata jirekebisha, watasugua sana viti vya clouds!! Wanapondaga kila kitu, hasa Luambano!! Mara chache sana hawa wawili husifia jambo zuri, na huponda vitu mara nyingi bila facts!
 
Clouds wote ni simba hasa Shaffih Dauda ukitaka habari fresh za yanga sikiriza efm na radio one.

Sababu ya Kitenge??? Sasa ndo ataiua, itakuwa ni redio ya Yanga!!
Anatakiwa awe neutral, na kiukweli wapo neutral isipokuwa wewe tu unaleta ushabiki wa kutaka kusikia stori za Yanga tu.
 
Ah,naye ndio walewale tu.Bora hata niangalie uchambuzi wa Oscar Oscar EATV kwenye kabumbu show.

Sasa Sport Bar utakua unamwangalia mchambuzi gani? Maana kabakia shaffih, alex luambano na wale madogo wawili ambao mmoja kazi yake ni kukariri makala za goal.com na kuja kuzitapika, mwingine ni kugoogle rekodi na kuja kuzitema.
 
Kuhama kwa IBRAHIM MAESTRO kuhamia EF sport itakuwa nipengo kubwa sana clouds fm katika kipindi cha michezo
Maestro alikuwa mchambuzi Wa michezo katika Redio Na TV clouds ambae alifanya kazikubwa sana, walikuwa wakishirikiana vyema na watangazaji wengi kama vile Shaff Dauda and ext

Lakini ukweli utabaki palepale jamaa anajua kuchambua michezo
Umejiunga redio ambayo haisikiki mikoani ni kwa Dar tu peke ake utapoteza baadhi ya mashabiki zako walio kuwa wana Ku foll Na kukupa big up ya utendaji wako wa kazi

Dah! Nashukuru hii sio habari ya mauti. Nilivyosoma kichwa cha habari, nilishtuka kidogo!
 
Sababu ya Kitenge??? Sasa ndo ataiua, itakuwa ni redio ya Yanga!!
Anatakiwa awe neutral, na kiukweli wapo neutral isipokuwa wewe tu unaleta ushabiki wa kutaka kusikia stori za Yanga tu.

Hujaelewa namaanisha Clouds wako ki Simba zaidi badala ta kubalance
 
Wale hawajifichi kabisa.Kama ni shabiki wa yanga halafu unasikiliza sports extra clouds fm itabidi uwe na roho ngumu sana.
 
Sasa Sport Bar utakua unamwangalia mchambuzi gani? Maana kabakia shaffih, alex luambano na wale madogo wawili ambao mmoja kazi yake ni kukariri makala za goal.com na kuja kuzitapika, mwingine ni kugoogle rekodi na kuja kuzitema.

Si ndio maana nimekuambia bora niangalie kabumbu show?
 
Back
Top Bottom