Aende zake tu bwana.Shabiki la simba hilo uchambuzi wake siupendi.Bora sasa nitaangalia sport bar.
vipi kuhusu uchambuzi wa shaffih dauda, anapokua kajiachia katka zile sofa za baa ya michezo?
Aende zake tu bwana.Shabiki la simba hilo uchambuzi wake siupendi.Bora sasa nitaangalia sport bar.
Duuuh! Kumbe kaondoka! Hapo clouds wanazidi kupoteza majembe maana kipindi cha sport xtra ndo kipindi kinachofuatiliwa zaidi. Kuna Jeffy leah na Alex Lwambano siwasikii nao siku hizi sijui wameama?
Clouds wote ni simba hasa Shaffih Dauda ukitaka habari fresh za yanga sikiriza efm na radio one.
Ah,naye ndio walewale tu.Bora hata niangalie uchambuzi wa Oscar Oscar EATV kwenye kabumbu show.
Kuhama kwa IBRAHIM MAESTRO kuhamia EF sport itakuwa nipengo kubwa sana clouds fm katika kipindi cha michezo
Maestro alikuwa mchambuzi Wa michezo katika Redio Na TV clouds ambae alifanya kazikubwa sana, walikuwa wakishirikiana vyema na watangazaji wengi kama vile Shaff Dauda and ext
Lakini ukweli utabaki palepale jamaa anajua kuchambua michezo
Umejiunga redio ambayo haisikiki mikoani ni kwa Dar tu peke ake utapoteza baadhi ya mashabiki zako walio kuwa wana Ku foll Na kukupa big up ya utendaji wako wa kazi
Sababu ya Kitenge??? Sasa ndo ataiua, itakuwa ni redio ya Yanga!!
Anatakiwa awe neutral, na kiukweli wapo neutral isipokuwa wewe tu unaleta ushabiki wa kutaka kusikia stori za Yanga tu.
Dah! Nashukuru hii sio habari ya mauti. Nilivyosoma kichwa cha habari, nilishtuka kidogo!
Hujaelewa namaanisha Clouds wako ki Simba zaidi badala ta kubalance
Sasa Sport Bar utakua unamwangalia mchambuzi gani? Maana kabakia shaffih, alex luambano na wale madogo wawili ambao mmoja kazi yake ni kukariri makala za goal.com na kuja kuzitapika, mwingine ni kugoogle rekodi na kuja kuzitema.
Hujaelewa namaanisha Clouds wako ki Simba zaidi badala ta kubalance
Si ndio maana nimekuambia bora niangalie kabumbu show?