L ldleo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 1,116 Reaction score 1,121 Jul 19, 2022 #1 Wakati likizo ya majira ya joto inakuja, wazazi wengi pamoja na watoto wao wanatembelea bustani ya Wanyamapori ya Beijing, China. Kuanzia tarehe 15 Julai, wanafunzi wapatao milioni moja wa shule za msingi na sekondari mjini Beijing wameanza mapumziko yao ya majira ya joto.
Wakati likizo ya majira ya joto inakuja, wazazi wengi pamoja na watoto wao wanatembelea bustani ya Wanyamapori ya Beijing, China. Kuanzia tarehe 15 Julai, wanafunzi wapatao milioni moja wa shule za msingi na sekondari mjini Beijing wameanza mapumziko yao ya majira ya joto.
M mwayena JF-Expert Member Joined Apr 21, 2016 Posts 3,562 Reaction score 5,165 Jul 19, 2022 #2 Mazingira yanavutia sana