Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 817
- 881
Nimekunywa mkuu, πππMkuu,
Umepata kifungua kinywa kweli leoπ
Maana sio kwa mafumbo na spana.
Hapo sawa ujumbe murua na ufike pande zoteeeNimekunywa mkuu, πππ
"Hakuna maana ya kumkomboa Mwafrika kiuchumi kama bado amefungwa kifikra, maana utumwa wa akili ni hatari zaidi kuliko utumwa wa mali." β Alloyce, P.R.Watanganyika wamechoshwa na;
Umasikini.
Ujinga.
Maradhi.
Miaka 64 ya uhuru maadui hawa bado wanatutesa mno.