Utalii TZ- Actor Will Smith yupo Tanzania kutalii kutokea USA

OMG

Unasikitisha
 
Kwan yy ni nan mpaka tumtangaze kwenye runinga zetu? Wamekuja akina billigate tajir wadunia akina jennifer Lopez, na umaaruf wao hata hatukuwa na habar nao sembuse huyu negro

OMG

Unasikitisha
 
Vyombo vya habari vya Egypt vime-cover sana safari Will Smith nchini humo na wamechukulia kama fursa za kutangaza utalii, I wonder asubuhi utakuta hakuna hata gazeti moja la Kitanzania limeandika juu ya ujio wa legendary huyo.
Watu wapo busy na unpaid story "bashite"
 
Vyombo vya habari vya Egypt vime-cover sana safari Will Smith nchini humo na wamechukulia kama fursa za kutangaza utalii, I wonder asubuhi utakuta hakuna hata gazeti moja la Kitanzania limeandika juu ya ujio wa legendary huyo.
Wako t na Makonda!
 
Hapo ndio wakenya wanapotushindia yaani mambo ya msingi haya pewi kipaumbele inasikitisha sana watanzania tubadilike
 
Wabongo tuna pride za ajabu sana, itakua ngumu sana kuendelea.
 
Vyombo vya habari vya Egypt vime-cover sana safari Will Smith nchini humo na wamechukulia kama fursa za kutangaza utalii, I wonder asubuhi utakuta hakuna hata gazeti moja la Kitanzania limeandika juu ya ujio wa legendary huyo.
Tuko busy na Lipumba
 
Duh Wadau Ishu ya Daudi iishe basi mtafanya ashindwe kuwajibika na Matokeo Mabovu ya Shule za Dar es salaam Necta kushika Mkia kitaifa. Maana yeye anakwepesha na nyie ndio mnazidi kusahaulisha...
Atawajibika vipi sasa kwa matokeo ya waliofeli dsm wkt naye alifeli? Angekuwa mfano wasingefeli
 
Ahsante kwa kutujuza.
Ndio maana Kenya wanatupiga mabao kwenye utalii, tunabaki kulalama tuu.
Wahusika amkeni sasa kumekucha!!
 
Kwan yy ni nan mpaka tumtangaze kwenye runinga zetu? Wamekuja akina billigate tajir wadunia akina jennifer Lopez, na umaaruf wao hata hatukuwa na habar nao sembuse huyu negro
Wewe utakuwa umesoma Koromije na kiumbe yule..
 
We ni kilaza zaidi ya Jesca J na Bashite D.
 
Duh!!!!!! nakupa pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…