joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #101
Very weak leadership, very confused leaders, failed Country.si ndo maana nasema COVID19 was just a gimmick to hide their really intentions!
Fungulia uzi hii mkuu tuwatese [emoji3][emoji3]Wameruhusu karibu nchi zote, je hawaogopi tena Corona?
Subiri kidogo huu uzi wa kusalimu amri uishe nguvu kidogo.Fungulia uzi hii mkuu tuwatese [emoji3][emoji3]
[emoji51][emoji51][emoji51]Mwezi! Wakati wiki wajamaliza toka kuzuia mashirika matatu wanalia lia tu ,lazima tuwapigishe magoti sasa hivi utasikia bc haya hakuna mtanzania atakaa lockdown
Ni wapuuzi sana hawa jamaa. Hon Magu usiruhusu ndege zao. Wakome kidogo washike adabuUnakumbuka waliwahi kutuwekea zuio magari ya utalii wasichukue watalii Kenyata Airport?
Hawa wanadhani we are naive
Tukifanya hivyo viongozi wao watakuja kwa kutembea na magoti kutoka Nairobi Hadi Dodoma...Wakiendelea tunawarudisha wakenya wanaofanya kazi TZ na tunafunga kampuni zao. Hatupangiwiiii
Wametubu [emoji3][emoji3][emoji3] Kenya tunawaendesha utazan play station game vile[emoji51][emoji51][emoji51]
Yametimia huku Mkuu