Kwanza kunao wana hasira sana ya Amin kuondolewa, maana huwa wanahisi ndio nchi yao ilikwama na kuganda baada ya hapo.
Hata hivyo hizo ni history, kizazi cha leo kwa waliozaliwa baada ya 1980 wengi hamjui Idd Amin na hawana muda na lelemama stories, ukiingia kwao lazima upimwe corona hata kama ulihusika kwenye vita vya Kagera lazima upimwe.
Na ndivyo ilivyo kwa Kenya, kila anayetokea Tanzania lazima apimwe hamna nini wala nini, kwanza sisi hatujazuia ndege zenu maana hizo mlizonunua kwa kujitesa hazijawahi kutupea tatizo lolote, siku zote mnazipigisha ruti za daladala huko, kitu ambacho tumekazania na hatutaachia ni hilo la kupimwa, uking'ang'ania unataka kuingia Kenya lazima upimwe.