Utalii wa Kenya taabani kufuatia mzozo na Tanzania, Wawejezaji wamuomba Uhuru Kenyatta kumpigia magoti Magufuli

Utalii wa Kenya taabani kufuatia mzozo na Tanzania, Wawejezaji wamuomba Uhuru Kenyatta kumpigia magoti Magufuli

Kenya wanachofanya wanajaribu kupiga promo kama TANZANIA hali ni mbaya kuhusu Corona ili isiwe pekeyake ndio wanajaribu kulazimisha kutangaza TANZANIA kuna Corona wanajua wakiwa pekeyao TANZANIA itapiga pesa kwenye utalii sasa kinya haina nia nzuri na TANZANIA dawa mazungumzo yasikubaliwe mpaka watangaze kila Kwa miezi 3 kwamba visit ngorongoro , Kilimanjaro is safe
Economic intelligence yao imefeli. Kinachowatesa wale ni chuki na wivu tu. Hatakuwalazimisha lockdown, kila MTU alitumia njia yake, kwanini kuoneana nongwa?
 
Ingekuwa busara sana kama Tanzania wangefuka mipaka yote na Kenya.
Yani hata mabasi na malori yasiwe yanapita mipakani. Maana kama wamefunga mipaka ya ndege na bado barabara zipo wazi na watu wanaotoka tz hawawekwi Karantini basi huu ni usanii mkubwa sana Kenya wanaoufanya.
 
Wala sijahangaika kujua hizi taarifa zinahusu nini ila kwa sasa afya yetu muhimu, lazima mpimwe mkija.
Hivi unajua onyango Jana alikuwa anakipiga arusha kwenye ngao ya hisani? Mzee Kikwete alishawahi kusema "akili za kuambiwa, changanya na zako" Kwa sasa mmeanza kumuelewa Magu ni nani. Anaenda kupiga tena 5, mbona atawanyosha tena.
 
Ingekuwa busara sana kama Tanzania wangefuka mipaka yote na Kenya.
Yani hata mabasi na malori yasiwe yanapita mipakani. Maana kama wamefunga mipaka ya ndege na bado barabara zipo wazi na watu wanaotoka tz hawawekwi Karantini basi huu ni usanii mkubwa sana Kenya wanaoufanya.
Hapo ndo utajua unafk wa ke uko wapi. Kupambana na bongoland ni kujitesa bure, watashindana na sisi lakini hawatashinda
 
Kweli afya kwanza mkuu ,ila fedha mnazopewa na mabeberu kwa ajili ya korona mbona wajanja wazitafuna na haziendi kwenye kufight covid19?

Kama kuna hela zimeliwa watashughulkiwa, ila kwa sasa lazima kila anayetokea Tanzania tumpime.
 
Mbinu ya kenya kupotosha ulimwengu kua raia wanakufa kwa corona wakati ni njaa haitazaa matunda
Hili suala nlishawahi lifikiri sana, kuna uwezakano kuna watu wako behind hii kitu ili wapige mpunga, si unajua ke watu walivyo waroho? Huu ni mradi wa watu ndugu yangu
 
Hili suala nlishawahi lifikiri sana, kuna uwezakano kuna watu wako behind hii kitu ili wapige mpunga, si unajua ke watu walivyo waroho? Huu ni mradi wa watu ndugu yangu
Kaka amini usiamini, hakuna lolote Kenya wamepanga katika hili, tatizo lao hawa jamaa ni uwezo mdogo wa kufikiria, jambo linalowafanya kuingia katika matatizo makubwa hata katika kuendesha nchi yao. Uwezo wao ni mdogo na hawataki kusikiliza ushauri wanajiona wao ndio kila kitu.
 
Muda unazidi kuhesabu
Tanzania ikifunga mipaka yake kwa Wakenya hali itakuwa ni kiliona kusaga meno.

Kenya njooni kwa adabu tuyajenge maana viongozi wenu wanapo jimwambafy kuitunishia misuli Tanzania wakati wao wanakwiba mpaka fedha za kuokoa maisha ya Wakenya dhidi ya Corona wanakosea sana.

Mmebugi kumchezea sharubu mkemia. Endeleeni na Kiburi sisi tupo salama
 
safari hii hatucheki na kima tena, tumeshaona wanatuona watoto wenzao.

unakumbuka mara ya kwanza!! sioni dalili yoyite ya ndege kuachiwa zitue, hasa ukizingatia tuna ndege zetu nasisi.
 
Hili suala nlishawahi lifikiri sana, kuna uwezakano kuna watu wako behind hii kitu ili wapige mpunga, si unajua ke watu walivyo waroho? Huu ni mradi wa watu ndugu yangu

Huyo mkenya amezungumza ukweli kabisa
 
safari hii hatucheki na kima tena, tumeshaona wanatuona watoto wenzao.

unakumbuka mara ya kwanza!! sioni dalili yoyite ya ndege kuachiwa zitue, hasa ukizingatia tuna ndege zetu nasisi.
Unakumbuka waliwahi kutuwekea zuio magari ya utalii wasichukue watalii Kenyata Airport?

Hawa wanadhani we are naive
 
Kenya wako sahihi kufanya maamuzi ya kuilinda Nchi yao kiafya.
Sisi Watanzania tuendelee na mipango yetu itakayo tufaa.
Tunawombea Wakenya wafanikiwe vita yao dhidi ya Covid 19.
Watanzania kukatazwa kwenda Kenya au kulazimishwa kuweka karantini ni kwa manufaa yao na yetu pia.
Sisi ni Nchi huru tusipangiane cha kufanya.

Sent from my MI MAX 2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom