Utalii wa Kenya waongezeka kwa asilimia 20% pamoja na chokochoko za uchaguzi

Utalii wa Kenya waongezeka kwa asilimia 20% pamoja na chokochoko za uchaguzi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Watalii waliendelea kumiminika kwa maelfu pamoja na sintofahamu za uchaguzi, hongera timu Kenya ikiongozwa na waziri Balala, Mungu ibariki Kenya.

balala-pic.jpg

Tourism Cabinet Secretary Najib Balala (2nd right) during a press conference in his office on February 8, 2018. He said Kenya’s tourism sector has improved after the country recorded a 20.3 percent growth last year to post earnings of Sh120 billion despite the long electioneering period. PHOTO | KENNEDY KIMANTHI | NATION MEDIA GROUP

Strategies to revive Kenya’s tourism sector bore fruit after the country recorded a 20.3 percent growth last year to post earnings of Sh120 billion despite the long electioneering period.

This is an improvement from the Sh99.69 billion earned in 2016 according to Tourism Cabinet Secretary Najib Balala.

Latest statistics released by the ministry show international arrivals increased by 9.8 percent to 1.4 million from the previous year’s 1.3 million tourists.

The United States remained Kenya’s leading market, growing by 17 percent with 114,507 arrivals.

DIRECT US FLIGHTS

“We look forward to the Kenya Airways direct flights (to the US) that start in October to boost arrivals. In March the ministry will conduct a road show in US to promote the Nairobi-New York flights by the national carrier,” Mr Balala said.

The United Kingdom was second with an 11.1 percent share of the arrivals accounting for 107,078 tourists.

Uganda was third with a share of 6.4 percent at 61,542 arrivals.

Other top markets were India, China, Germany, Italy and South Africa.

BED NIGHTS

Mr Balala said a total of four million bed nights were taken up by Kenyans last year compared to 3.5 million in 2016.

“Domestic market performance is measured in terms of bed nights taken up by Kenyans touring the country. This denotes a 15.9 percent growth,” he said.

Travel warnings issued by western governments which form the bulk of the foreign tourists arriving in the country impacted negatively on the sector with numbers dropping to 12 per cent in the first 11 months of 2015 to 690,893.

TERROR ATTACKS

This was a result of increased insecurity following spate of terrorist attacks.

After the August 8 elections, Mr Balala announced the government would find ways to counter the bad publicity occasioned by the post-election protests in some parts of the country.

The minister slammed foreign and international media for what he said was portraying Kenya in negative light but assured visitors and holidaymakers that the country is safe.

“The numbers dropped after the first elections and tourists had started cancelling bookings before the second election in October,” he said.

This year, the ministry projects there will be a 16 percent growth in the tourism sector.

Kenya’s tourism grows by 20pc
 
Hata na uchaguzi uliokumbwa na utata tumeweza kustahimili yote na kuongeza idadi ya watalii na mapato. All credit goes to the Government through Tourism CS Balala.
 
Najib Balala anafanya kazi yake, nawashangaa wanaomkemea kwa kupinga vikali ile marufuku ya shisha. Pamoja na madhara yote ya shisha, waziri ana point akisema marufuku hiyo haina tija na itaua utalii kiaina. Watu wanaua biashara za wenzao wakijifanya eti shisha ni ya shetani. Wakati wao wanawatafuna wachuuza ngono usiku kucha bila ndom wala hata hawana muda wa kufikiria mara mbili!
 
Hata na uchaguzi uliokumbwa na utata tumeweza kustahimili yote na kuongeza idadi ya watalii na mapato. All credit goes to the Government through Tourism CS Balala.

Subiri tupate direct flights za USA ndio itanoga
 
Kenya na Zanzibar???? Sasa hapo Tanzania inakua vipi maana huo muungano wenu huwa unaniacha njia panda, ina maana tunaweza kuwa na ushirikiano na Zanzibar kwa upande mmoja halafu tuwe na ushirikiano na Tanzania kwa upande mwengine.
 
MK254,
Hata ukiangalia mikutano ya wakuu wa nchi za Afrika Mashariki, Tanzania huwakilishwa na marais wawili.

Rais wa "Muungano" na Rais ambaye ni Mwenyekiti wa "Baraza la Mapinduzi". Mmoja kutoka Tanganyika na mwingine Zanzibar.

Muungano wetu ni wa kipekee na kutiliwa mfano Afrika. Ukija upande wa michezo, utamaduni, utalii n.k mfano mashindano ya nchi za Afrika Mashariki au barani la Afrika, Tanzania huwakilishwa na timu mbili yaani Zanzibar na nyingine toka Tanganyika.
 
We unadhani kwanini kulikuwa na mtafaruko kwenye uchaguzi wa Zanzibar? Watanganyika wanaogopa sana wazanzibari wakipaa wawaache wao wakifukuzana na mwenge. Hehehe 🙂
 
Na mwishoe hizo teams mbili tunazinyorosha kwa pamoja mnarudi kwenu mkitiririkwa majonzi. Bure kabisa Bongolala.
 
Utakuwa umeongezwa na utalii wachokochoko za uchaguzi.
Watalii walienda kujionea chokochoko za uchaguzi tu
 
We unadhani kwanini kulikuwa na mtafaruko kwenye uchaguzi wa Zanzibar? Watanganyika wanaogopa sana wazanzibari wakipaa wawaache wao wakifukuzana na mwenge. Hehehe 🙂

Kuna nyuzi huwa wanaanzishaga humu za kujadili muungano huo, yaani very interesting, ila binafsi naona uendelee kuwepo maana Zanzibar ikijitenga hatujui nini kitazaliwa huko, maana wale jamaa hawakawii kuanza yale yao ya tindi kali na vituko halafu hapo Somalia nyingine izaliwe, kumbuka Pwani yeu haina umbali nao haswa Pemba na wana undugu sana hao, hivyo kiaina tunaweza kujipata tunaathirika.
Waendeleze muungano, udumu tu aisei, nadiriki kusema muungano hoyeee!!

Hebu soma huu uzi
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar; Una Faida gani na kwa manufaa ya nani?
 
Back
Top Bottom