Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Utalii si wa wageni pekee. Ni wakati sasa wa sisi Watanzania kuamka, kujua, na kuthamini uzuri wa nchi yetu. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kwa kila hali – milima, maziwa, hifadhi, visiwa, maporomoko, mapango, historia, na tamaduni zenye utajiri mkubwa. Lakini kwa masikitiko, wengi wetu hatujawahi hata kufika sehemu hizo, ambazo wageni kutoka nje huja kwa maelfu kila mwaka.
Utalii wa ndani ni zaidi ya kupiga picha; ni njia ya kujifunza, kuungana na wenzetu, kufurahi, kupunguza stress na kujenga kumbukumbu za maisha. Pia ni njia ya kuchochea uchumi wetu wa ndani na kuunga mkono juhudi za hifadhi za taifa.
Tumeanzisha WhatsApp group maalum linaloitwa "Legends of the Land – Tanzania Explorers", kwa ajili ya Watanzania wenzangu wanaopenda au wanavutiwa na utalii wa ndani. Hapa tutakuwa tunapanga safari, kushirikishana uzoefu, kujadiliana kuhusu maeneo, gharama, maandalizi, na kuhakikisha kila safari yetu inakuwa ya kipekee zaidi.
Tuta-tembelea maeneo yafuatayo (na mengine mengi zaidi):
Serengeti National Park
Ngorongoro Crater
Mount Kilimanjaro
Mikumi & Ruaha
Lake Victoria & Ukerewe
Zanzibar & Pemba
Saadani & Bagamoyo
Udzungwa & Mahale Mountains
Gombe Stream (Chimpanzees!)
Mto wa Mbu, Tarangire & Manyara
Historical sites kama Olduvai Gorge, Kalenga, Kondoa Rock Art
Maeneo ya fukwe kama Pangani, Kunduchi, Mbeya waterfalls, na Lake Nyasa
Na hata miji yenye historia kama Tabora, Kilwa, Tanga, na Lushoto
Faida za kuwa pamoja kwenye group hili ni nyingi – gharama tunagawana, ideas zinachanganywa, vibe ni tamu, na kila safari inakuwa fun na affordable zaidi. Hakuna pressure – unachagua safari unayotaka, wakati unaotaka, na unajua uko na watu wenye vibe kama yako.
Tunakukaribisha kwa heshima na furaha ujiunge nasi kwenye "Legends of the Land – Tanzania Explorers" WhatsApp group. Huko utapata taarifa zote, updates, picha, na inspiration ya kweli.
Join the tribe, explore the land, and write your own legend.
Ukiona tangazo hili, mkaribishe na mwenzako. Safari ni tamu zaidi tukiwa pamoja.
Karibu
sana!