Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kula Raha ukasimulie vizuri huko ugonjwa utakapo amua ukupeleke.
Labda atuambie sifa za ziwa ni zipi? Ila eneo hilo linapendeza sana likiendelezwa, nafananisha na bwawa fulani la asili lipo Arusha waita DulutiHilo ni ziwa au dimbwi la maji
Kwanini pasichimbike sasa hivi? Nenda kampe kampani anapigwa baridi peke yake kule.Hapana mkuu tukijiweka mkao wa kwenda kusimulia tu badala ya kupambana ili kuishi, nchi kama mabucha mbona tutakuwa tumeyaachia yale majamaa kulinda?...
Usimbeghe kanunu nungwe, aseeeMkuu hak kaziwa bwana kan maajabu yake nikafup lakin. Ukiingia hakuna kutoka nimesoma kule shule moja inaitwa lufilyo nilipita mara ya kwanza naenda selya katika michezo
Bwawa ni la msimu. Pia kuna mabwawa man-made, Kama ya kuhifadhia maji, ya kuzalisha umeme etc... kuna haja ya kutoa tafsiri sahihi ya ziwa especially surface area! Ziwa vs bwawa vs dimbwi.
Bwawa ni mkusanyiko wa maji mengi. Ni dogo kuliko ziwa na mara nyingi huwa limetengenezwa na binadamu. Kwa kawaida, maji huzuiwa kutumia lambo katika bonde la mto au katika ardhi iliyochimbwa, ili kuhifadhi maji. Ingawa kuna mabwawa yaliyo na neno 'ziwa' katika jina, tofauti kuu ni kuwa bwawa hutengenezwa na binadamu... kuna haja ya kutoa tafsiri sahihi ya ziwa especially surface area! Ziwa vs bwawa vs dimbwi.
Hatar sanaUsimbeghe kanunu nungwe, aseee
Na nyie hasa ndio wahifadhi wa eneo hiliTunamshukuru kutangaza eneo letu kuwa la kitalii, ila chonde chonde usije fanya serikali itufukuze sisi tunao kaa eneo hili kwa kidingizio cha kuharibu mazingira wakati tupo hapa enzi na enzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu iko ni ziwa kwakua limetokan na crater kwaa maan yak iko hvy... kuna haja ya kutoa tafsiri sahihi ya ziwa especially surface area! Ziwa vs bwawa vs dimbwi.
Asante kwa ufafanuziMk
Mkuu iko ni ziwa kwakua limetokan na crater kwaa maan yak iko hvy
Crater ni ziwa ambalo huwa linatengenzwa kam mlipuko wa volcano utakuwa majj yameingia na kukaa sehm hiyo hiyo ndio tafasri yake koo jua hilo ni ziwa
Ongeza sauti mzee baba hawajasikia.Kwa jinsi nilivyozunguka nchi za SADC Tanzania inaweza kuwa ya Kwanza kwa kuwa na vivutio vingi harafu havitangazwi maana hata hayo magari ya kuwezesha utalii kukua Kodi ipo juu punguzeni au toeni makodi kwenye magari ya utalii ili mpate pesa kwenye utalii zisizo na chenga mito ipo,maziwa,milima,wanyama misitu mnaiangalia tuu mpo busy na Kodi za nyumba za udongo wakati wageni wanatamani sana kuona mandhari zetu...