UTALII WA NDANI: Ziwa Kyungulu/ Kyungulu Crater Lake, Mbeya

UTALII WA NDANI: Ziwa Kyungulu/ Kyungulu Crater Lake, Mbeya

Kuna moja liko Hanang lina maajabu sana na kwa bahati mbaya hawaja lipromote kabisa
 
Tulipamopene kyusa,tukwisa ikolona shope ikukoma vijo tasi ikiinde
 
Ziwa Kyungululu/ Kyungululu crater Lake

Ziwa Kyungululu llinapatikana Lugombo katika kijiji cha Kabembe kata ya Itete, Halmashauri ya Busokelo Wilaya ya Rungwe, linapatikana umbali mdogo kutoka ilipo Hospitali teule ya Itete.


Uwapo katika eneo lilipo Ziwa Kyungululu utaweza kuona kwa uzuri Mlima Sutwa, Safu za Mlima Livingstone iliyoambaa mpaka katika Kingo za Ziwa Nyasa, pamoja na ziwa Nyasa, Katika ziwa hili hakuna mto wowote unaoingiza wala kutoa maji unaoweza kuonekana kwa macho.

Mbona lipo kama kisima/bwawa/dimbwi ... kigezo cha maji kuitwa ziwa ni kipi? ujazo wa maji? upana wa eneo?
 
Back
Top Bottom