elephantsengetisafari
Member
- Sep 21, 2023
- 7
- 6
Habari za wakati huu kwa majina naitwa joh au johanes ni muongoza watalii ndani ya hifadhi ya Serengeti ningependa kuwakaribisha wote kuja kutembelee vivutio vilivyoko ndani ya hifadhi zetu za taifa ikiwemo ngorongoro arusha national parks lake manyara national park na ingine vingi hasa wakati huu ambao tunaelekea mwisho WA mwaka tunapenda kuwa karibisha watu wote kutoka sehemu mbali mbali ikiwemo wanafunzi, vikundi mbali mbali ndani na nje ya nchi kampuni yetu inaitwa elephantserngeti safari ni kampuni mpya Aina mda mrefu Sana na tumeisha fanya kazi kadhaa tunapatika Serengeti mara kwa mawasialiano zaidi +255625818341 au kwa email. elephantserengetisafari@gmail.com View attachment 2758037View attachment 2758034View attachment 2758035View attachment 2758036View attachment 2758038View attachment 2758039View attachment 2758040View attachment 2758041