Utalii: Wachina 600 kutua Tanzania wiki ijayo

Utalii: Wachina 600 kutua Tanzania wiki ijayo

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
13,067
Reaction score
10,393
Tanzania inatarajia kupokea watalii zaidi ya 600 kutoka nchini China wiki ijayo. Hayo yalithibitishwa na balozi wa China nchini Tanzania Bibi Wang ke wakati akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake.

Katika ujio wa watalii hao inakadiriwa wataliigizia taifa mapato ya kiasi cha dola million 2 za kimarekani kwa kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii nchini.
 
Back
Top Bottom