Utalii: Wachina 600 kutua Tanzania wiki ijayo

Utalii: Wachina 600 kutua Tanzania wiki ijayo

Utani utani tu lakini wizara ya Utalii na Afya wakikaa kizembe hakuna tena cha taarifa wala nini wangetoa tu utaratibu kwamba wageni wakifika airport wakae kambini kwa muda wa wiki mbili na huko kambini wangewapiga tu dawa zozote za mafua makali au virusi wao wanategemea zaidi ripoti za vipimo za china na naskia kwa huku africa vipimo vipo africa ya kusini kwanini tutishane?
Wananchi tuna haki yakujua A-Z ya namna wageni watakavyopokelewa na siyokubet maisha ya watanzania wote kwa dola milion 2 za kimarekani je both team zikiscore itakuwaje? kwa maana ya dola milion mbil tunapata na corona inaingia mzigoni.
tunauhakika gani mkeka utatiki? tutoke tumemwin mchina? tuwe makini jamani

Juzi niliambiwa kuna jamaa alienda supermarket maeneo flani hapa bongo akakutana na mchina amevaa musk kajikinga kweli kweli sasa sisi ni nani tusijikinge?
Wizara ziwe makini huwezi ita watu 600 wanaotoka kwenye hatari ya ugonjwa bila kupiga mbiu kama hatuna uwezo wa vipimo ni heri mambo yahairishwe, nasisitiza wawekwe kambini kwanza na watakaowapokea wajikinge kwa mavazi kama ilivyo kwa ebola/kipindu pindu
Na meli zinazotoka China je?
 
Tanzania inatarajia kupokea watalii zaidi ya 600 kutoka nchini China wiki ijayo. Hayo yalithibitishwa na balozi wa China nchini Tanzania Bibi Wang ke wakati akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake.

Katika ujio wa watalii hao inakadiriwa wataliigizia taifa mapato ya kiasi cha dola million 2 za kimarekani kwa kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii nchini.
$2million= 50million lives of innocent people.gharama za kutibu huo ugonjwa ni mara dufu ya hiyo $2million. Kweli magufuri ana kazi sana wafanyakazi wengi sasa wanatumia akili za chini kufikiri mambo mazito ya dunia. Nchi tajiri zimepiga marufuku iweje sisi kajapa nani.
 
$2million= 50million lives of innocent people.gharama za kutibu huo ugonjwa ni mara dufu ya hiyo $2million. Kweli magufuri ana kazi sana wafanyakazi wengi sasa wanatumia akili za chini kufikiri mambo mazito ya dunia. Nchi tajiri zimepiga marufuku iweje sisi kajapa nani.
Dah...[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Baadae watawalaumu Wapinzani

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Back
Top Bottom