Utamaduni huu wa wanawake kuvaa nguo halafu nguo za ndani zinajichora ni sawa?

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Habari za mchana huu wakuu?..

njooni mtoe maoni kuhusu hii kasumba mbona wanawake wasikuizi wakivaa nguo vyupi au makufuli yanaonekana au yanajichora?

hii kitu ni sahihi na je mbona Enzi hizo zamani hatujawahi kuona kitu kama icho?

au viongozi wa kike mbona hawavai ivyo mfano mama salma, Anne makinda, mbona hao hatujawahi kuona chupi imejichora?
 
Mambo ya kuficha vyupi ni outdated cultural practice. Waache watu waonyeshe vyupi vyao kama ndala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…