Utamaduni huu wa wanawake kuvaa nguo halafu nguo za ndani zinajichora ni sawa?

Mkuu tatzo kila mmoja akijiheshimu wanawake wengi watabaki masingle. Acha watupe mihemko hata kama huna mpango lazima utoe tamko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hizo picha wote ni Whites.. Ebu tuwekee za Watanzania. Si unajua tena ngozi nyeusi ilivyo tamu!
 
Siyo sawa kabisa. Kututamanisha tu.

Mimi nikikutana umevaa hivyo, tukiweka mazoea tu lazima nikutongoze tu hapo hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda hawavai si tutajuaje km wanavaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuzi nyingine bila picha zinawezekana ila hii bila picha kwakeli hapana mkuu
 
Ukute ana kimsambwanda fulani hivii...afu kama hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…