Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Wamasai wanyanyaswa kwenye ardhi yao kisa nwarabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wametoa ufafanuzi wanasheria waliouandika tena mbele ya kamera za TBC, ITV mpaka wamechoka, Kaka Kiranga.Kwa nini watu wengi wanajitoa akili na kujifanya hawaelewi hili jambo dogo lililo wazi kabisa?
Ni kwamba hawajasoma mkataba au wamelipwa kuutetea?
Steven Joel Ntamusano
Ni tofauti na pia huko ulaya wanatazama zaidi uwezo wa kazi [substance], huku afrika elimu zetu bado ni ndogo na pia wapambe wa magharibi wanaitumia hali hiyo kama fursa za kupotosha umma juu ya nini haswa kinachotaka kufanyika.Hiyo mikataba Mwarabu anayo ingia huko ulaya ni sawa na Mkataba wa Bongo?
Maktomm mbona ni Mzee sana kwa Sasa kama Dubai yote integemea yeye tu it's too riskNope, arabs of this current generation are well aware on the issue of finding right people with right CVs. Al Makhtoum has a vision and he knows how to reach his goals with the help of right mindsets.
Let us not forget he is a dictator and on the way to all the vast wealth he did not tolerate criticism. In UAE they have a bad history when it comes to human rights matters, he knows how democracy can be an enemy of economic success when given a place to grow.
Natumaini hata yeye mwenyewe ameshaona umri wake ni mkubwa.Maktomm mbona ni Mzee sana kwa Sasa kama Dubai yote integemea yeye tu it's too risk
Kyle Djibouti Walipewa miaka mingapi na kipi kimeleta mgogoro kule?Upo uwezekano miaka 20.
Sio Djibouti peke yao kuna mataifa mengi walikosea kwenye misingi ya biashara nzima. Naamini kwa kwenda bungeni sisi tumeweka msingi mzuri wa ulinzi wa kisheria.Kyle Djibouti Walipewa miaka mingapi na kipi kimeleta mgogoro kule?
Nadhani nguvu inayoibuka sasa ni BRICS ndio inazipasua vichwa nchi za Magharibi.Kuna nguvu mbili zinapigana, ile ya magharibi iliyotawala dunia kwa miaka mingi na hii iliyoibuka hivi sasa huko UAE. Hizi ni nguvu mbili zinazokinzana, wazungu wa magharibi wanaona wivu sana pale bandari moja baada ya nyingine zikizidi kuchukuliwa na mwarabu. Heshima aliyoizoea kuwa nayo inakwenda ikipungua na haipendi kabisa hali hii.
Usishangae maaskofu kubadili msimamo wao kwenye suala la bandari baada ya kuitwa Roma na kupewa maagizo ya kuifanyia roho mbaya DPW. Ni vita mbili nzito zinazoendelea.
Lakini uzoefu wa kazi wa DPW unajieleza wenyewe hauhitaji maelezo mengi ya ziada.
Ni tofauti na pia huko ulaya wanatazama zaidi uwezo wa kazi [substance], huku afrika elimu zetu bado ni ndogo na pia wapambe wa magharibi wanaitumia hali hiyo kama fursa za kupotosha umma juu ya nini haswa kinachotaka kufanyika.
Ufafanuzi gani? Wanasheria waliouandika ni nani?Wametoa ufafanuzi wanasheria waliouandika tena mbele ya kamera za TBC, ITV mpaka wamechoka, Kaka Kiranga.
Hamza Johari CEO wa mamlaka ya anga, Dr Possi mwanasheria wa serikali, Mohamed Said mwanasheria wa wizara n Musa Mbura mwanasheria wa wizara na CEO wa TAA.Ufafanuzi gani? Wanasheria waliouandika ni nani?
Ukomo upo kwenye mikataba ya kazi haupo kwenye mkataba uliongia bungeni, IGA haiwezi kuwa na ukomo ni mkataba wa jumla.Ulitaka kusemaje labda kwamba kwakua wana hela sasa tuwape rasilimali zetu wazimiliki bila ukomo?
Middle east hasa saudi na emirate ni mali ya mzungu anaweka civilization hapo ili kuua nguvu ya uislamu,be aware
Kwenda zako kule. Unafikiri utamzuga nani akubali dili la kijinga kukabidhi bandari zetu kwa waarabu? Bora tubakie na kasi ndogo ya maendeleo yatakayinufaisha wote huku tuko na uhuru na heshima kuliko kutoa mamlaka yetu kwa waarabu kwa maendeleo ya hao waarabu na mawakala wao nchini.Vilabu vikubwa vya Ulaya vinamtangaza Emirates kila kukicha. Mechi inachezwa uwanjani na ukitazama yale mabango ya umeme yanayokatiza pembeni ya mstari wa uwanja huwezi kulikosa bango lenye sura za kinadada wazuri weupe wanaotangaza shirika hilo la ndege.
Kabla mechi hazijaanza au kabla ya matukio makubwa yanayorushwa dunia nzima kwenye viwanja vya mpira vya Ulaya huwa wanajipanga kinadada wazuri warefu na weupe wakiwa na mavazi ya shirika hilo la ndege, ni kwa makusudi ili dunia nzima iweze kujua nini kinaendelea kwenye sekta ya anga.
Mwarabu kaikamata biashara ya ulaya baada ya kupigwa vita nzito kule Marekani akipewa kesi nyingi za uongo ili akate tamaa na kuondoka. Akatua ulaya kwenye bara lenye uendeshaji wa biashara wa haki, ukiwa na kitu chenye kuonekana ni lazima utoboe. Ameendelea mwarabu kunawiri katika uwanja wa biashara wa haki barani humo.
Ulimwengu tunaoishi una utamaduni mpya wa kibiashara na haukwepeki ni kama mvua mwezi wa April hazikwepeki ni lazima zitanyesha sehemu fulani ya dunia. Kwa kimombo inaitwa NEW WORLD ECONOMIC ORDER. Ni hali ambayo inamuongezea uzee Joe Biden kule USA, kila Akitazama takwimu za kibiashara anakuta Marekani inamiliki asilimia 40 tu za Market Shares kwenye masoko yote ya hisa, nani mpinzani wake mpya?, ni mwarabu anayeongozwa na Al Makhtoum kiongozi mkuu wa UAE.
Anamnyima usingizi Mmarekani na kumpunguzia ushawishi wake wote unaozidi kupungua siku baada ya siku. Huu ni mfumo mpya wa dunia mpya na sioni ni kwa namna gani Tanzania itaweza kuepuka ushawishi huu unaovuma kwa kasi. Mwarabu anamiliki sekta zote kubwa za dunia hii na kwa sasa kaingia kwenye misitu, kiasi cha mtu kushangaa inakuwaje misitu ya Dodoma inamilikiwa na mwarabu?. Kakamata kila mahali nyeti duniani.
Kwenye sekta ya usafiri wa majini ndio balaa, anamiliki meli 400 za iliyokuwa P & O Nedlloyd kampuni kubwa ya shipping miaka michache iliyopita, anao ushawishi huko DRC, Congo na kwenye madini ndani ndani ya Afrika. Pia anao umahiri wa kufanya end to end logistics kwa miundo mbinu ya kisasa aliyonayo. Anao umahiri katika biashara ya Bandari kiasi cha kuendesha akiwa ni vigezo vyote vya kuwa INVESTOR PORT yaani anamiliki bandari kule kwao na wakati huo huo anazikodisha kila kona ya dunia hii.
Anao uwezo wa kushusha bei za bidhaa nyingi pale Kariakoo kwa kutenga meli zake 10 zikawa zinahudumia bandari ya Dar pekee, na kupunguza kwa kiasi kikubwa bei za bidhaa mbalimbali. Kitaifa naona ni vigumu kupinga huu upepo wa mwarabu anaokuja nao katika pwani ya afrika mashariki.
Anapachikwa majina mengi na taasisi za kidini kwa kigezo cha asili yake kwani hao wanaojaribu kumchafua ni mawakala wa utamaduni wa magharibi na kwa sasa upo katika hali mbaya tukizingatia kuwa Market Shares za USA zinakwenda zikipungua, magharibi na utamaduni wake anao mtihani wa kupata chanzo cha uhakika cha gas, mfaransa anapambana kila kukicha amuue rais mpya wa Niger ili alinde maslahi mapana ya utamaduni wa magharibi.
Mwafrika na rasilimali zake nyingi anaendelea kufanana na msichana mzuri anayevutia wanaume wenye pesa nyingi, anatazama tu wanavyomuhangaikia kwa mitindo mbalimbali ya kutaka kuuvuta moyo wake.
Pesa Iko Kwa Mwarabu no way outVilabu vikubwa vya Ulaya vinamtangaza Emirates kila kukicha. Mechi inachezwa uwanjani na ukitazama yale mabango ya umeme yanayokatiza pembeni ya mstari wa uwanja huwezi kulikosa bango lenye sura za kinadada wazuri weupe wanaotangaza shirika hilo la ndege.

Siasa tupa kule, nchi Dar es salaam inataka kuwa HUB na SSH ameshaamua kufunga vioo, mwekezaji anapokuja anapokelewa tunaongea terms zetu na faster tunasaini mikataba, ujumbe wa Rais kwenye hotuba yake ya mwisho ikulu.Kwenda zako kule. Unafikiri utamzuga nani akubali dili la kijinga kukabidhi bandari zetu kwa waarabu? Bora tubakie na kasi ndogo ya maendeleo yatakayinufaisha wote huku tuko na uhuru na heshima kuliko kutoa mamlaka yetu kwa waarabu kwa maendeleo ya hao waarabu na mawakala wao nchini.
Kuhusu ulaya usiwasifie. Hao wazungu bure washakua 'hostage' wa mfumo wao mbaya wa kibepari. Kwani huoni wanavyoteseka kutokana na mabepari wa ulaya kuisusua urusi kiuchumi baada ya kuona wameshindwa kuidhibiti kiuchumi nchi hiyo? Ukraine ni kisingizio tu.
Hao wanasheria wa serikali waliomuumbua rais kwa kumfanya asaini instruments of full powers za Tanzania zinazompa Mbarawa nguvu za kuwakilisha Tanzania na Dubai?Hamza Johari CEO wa mamlaka ya anga, Dr Possi mwanasheria wa serikali, Mohamed Said mwanasheria wa wizara n Musa Mbura mwanasheria wa wizara na CEO wa TAA.
Tafuta youtube ile video waliyoongea na wahariri wa vyombo vya habari kuna ufafanuzi wa kina.
Mbarawa ni wa kwanza kupewa hiyo authority tangu tupate uhuru?. Huo ujinga ungeuficha wewe kaka Kiranga.Hao wanasheria wa serikali waliomuumbua rais kwa kumfanya asaini instruments of full powers za Tanzania zinazompa Mbarawa nguvu za kuwakilisha Tanzania na Dubai?
Umeusoma mkataba wewe au unategemea wanasheria wa serikali tu?
Acha ujinga.
Nakwambia hivi, acha ujinga.
Wewe ngumbaru unaelewa hata nilichoandika?Mbarawa ni wa kwanza kupewa hiyo authority tangu tupate uhuru?. Huo ujinga ungeuficha wewe kaka Kiranga.
Ni mara ya kwanza kwa rais kukasimu madaraka yake kwa waziri na kisha akasaini mikataba?. yaani unaongea kama vile umezaliwa leo hii mwaka 2023.
Karamagi alisaini mkataba hotelini kule Uingereza akiwa waziri wa nishati, unajua kwamba alifanya hivyo kwa niaba ya Rais Kikwete?.
Na hata marais mara nyingi tu wanawapa mawaziri au makatibu wakuu hizo nguvu za kusaini mikataba na kamera za TV zinarusha live kabisa tukio zima. Rais amekaa katika kiti chake na mawaziri wamekaa katika viti maalum sambamba na wawekezaji wa kigeni wakisaini mikataba.