Utamaduni wa Bacha Bazi Afghanistan jimbo la Kandahar na kwingineko: Wavulana wanavyoolewa na matajiri

Utamaduni wa Bacha Bazi Afghanistan jimbo la Kandahar na kwingineko: Wavulana wanavyoolewa na matajiri

Kikundi cha taleban hakikupaswa kurudi kutawala afghanistan daima, wanaongoza nchi kijuha wakitumia dini kama muongozo wao. Hilo taifa ni kituko duniani kwa namna linavyoongozwa kidini
 
Mfano hapa nchini kwetu zao kuu ni mahindi ukienda kwenye maduka ya mahitaji ya nyumbani hukosi unga wa mahindi kwa Yemen wao zao kuu ni mirungi inapatikana kila mahali na wanatafuna kwelikweli
 
Hapa napo watamlaumu ISRAEL na US?

View attachment 3475803
Bacha bazi ipo Afghanistan muda tu, haina mahusiano yoyote na Taliban, kama Hufahamu wanaofanya hizo issue ni hao wanaoungwa mkono na Usa, na hata Usa walipokua hapo Majeshi yao na elites wa Usa walikua wakihusishwa na hayo mambo, Soma Paper za Wikileaks kuhusu jeshi la Marekani Usa.

Hii article ya 2010 soma
 
Back
Top Bottom