KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Je una utamaduni wa kuandika ndoto unazoziota?
Ndoto ni lango la taarifa, maarifa NK. Taarifa na maarifa hayo huweza kuwa mazuri/ mema au mabaya/ maovu.
Fikiria unaota kila mara uko makaburini, hushtuki, wala hufuatilii mwenendo mzima wa maisha yako kuanzia umeanza kuota ndoto hiyo.
Mwingine anaota kila siku yuko kwenye party kubwa, anakula vinono, haandiki, hafuatilii, hatimaye anajikuta anaangukia Mbezi Beach kwa Pdidy wa JamiiForums, ukija kushtuka it is too late, wamesha kula kiboga.
Mwingine anaota daily yuko kwenye shule ya msingi, ni mwanafunzi, yuko la Pili A, mkononi ana kidumu na ufagio, lakini ni msomi, huenda Ana PhD, kwa kuwa haandiki ndoto zake, hapati fursa au wasaa wa kufuatilia nini maana ya hiyo ndoto kwenye ulimwengu halisi.