Kumekuwepo na utamaduni hasa kwa viongozi wa serikali kulaumu bila kuwa na uhakika na kusingizia wapinzani mfano mzuri ni kwenye hili la ndege kushikwa Canada.
Kila mtu anajua sababu lakini bila aibu Waziri wa Mambo ya Nje kwa nyakati tofauti anajaribu kuwasingizia wapinzani wamehusika kwasababu tu walihoji serikali kuhusu madeni yetu ya nje.
Tatizo ni kwamba kuwa na watu kama Lissu inewezekana kabisa wameumizwa kwa Riaisi kujazwa uongo kwamba walikuwa wana uwezo wa kushikilia ndege kumbe hakuna kitu yeye alikuwa mfuatiliaji tu wa mambo ya alipinga serikali kupuuza madeni na kuwaonya bila mafanikio.
Lakini utamaduni wa kulaumiana unafanya ndugu badala ya kutatua matatizo tunatafuta wachawi miongoni mwetu ambao hawapo.
Kuwa na mtazamo tofauti haina maana ni kupinga maendeleo bali ni kupinga mbinu za maendeleo.
Kwasababu ya utamaduni na kulishwa maneno wengi wa Watanzania hawawezi kutofautisha kupinga mbinu za kutatua matatizo na kupinga maendele.
Mtu leo ukipinga mradi wa ndege utaambiwa umepinga maendeleo kumbe walewale waliopinga walikuwa na mbinu tofauti ya kutumia ile pesa.
Utamaduni kwa kutokupinga kitu chochote au kuwa na mawazo tofauti hautafanikiwa maana Watanzania kitabia ubishani uko kwenye damu zetu, ni nchi ambayo tuna makabila, dini, na vitu vingi sana tofauti kiutamaduni hatuwezi na Nyerere alishindwa kutufanya kama China.