Utamaduni wa Usafi wa Zamani!
Habari zenu Wanajukwaa!
Leo nimekumbuka kipindi tuna miaka 3-7 ilikuwa ikifika jioni baada ya michezo ya siku nzima, mama anakagua miguu kama ni michafu kabla ya kuingia ndani (kuoga haikuwa lazima ila Kunawa miguu ilikuwa Jambo la Lazima, mara kumi usiingie ndani kama miguu ni Michafu)
Baada ya kutafakari nikagundua wazazi wetu walikuwa hawataki tuchafue mashuka. Najua kwa washua ilikuwa tofauti kidogo
Tupe experience yako!
Hiyo ya 1990 uliifanya ili uwe msafi?