passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Wakati nchi za magharibi zikijikita kufundisha watoto mambo ya mapenzi ya njinsia moja,nchi ya Russian inajikita kufundisha watoto wao namna ya kujenga na kutunza familia.
Nashauri Na sisi Tanzania tuanzishe programs za kulinda familia ikiwepo masomo ya darasani ya kujifunza utamaduni wa kitz na kutunza familia ili kulinda hii Taasisi ambayo ndiyo msingi wa Taifa lolote.tuamke