Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,195
Nimeona tangazo kupitia Azam TV. Nikabaki nacheka tu.
Nakumbuka siku wanasign pambano, Dullah alikuwa sereouz. Jamaa alishauri promoter atoe laki2 kwenye pesa yake ili ikitokea Kiduku amemaliza Round basi apewe.
Baada ya hapo ni maigizo tu. Yani Shafii anawafundisha jins ya Ku-Act mpaka radha Inapotea.
Hata siku ya pambano la Mwakinyo utaona jinsi walivyoigiza pale jukwaani.
Ngumi zinahitaj uhalisia . Hata Kaoneka analijua hili. Ila kwa kinachoendelea naona maigizo yanazidi Sana..
Yote kwa yote Mashabiki tunategemea pambano zuri na bora.
Vijana wapasuane. Damu zienee
Sio mtuletee send off km za juzi MLImani. Mechi12 hakuna aliyepasuliwa hata mmoja.. Hiyo si harusi jamani.
Kingine pambano lisiwe live kwa TV.

Ni hayo tu..