Utambulisho wa game ya Twaha Kiduku Vs Dulla Mbabe umekaa kibongo movie sana, Shafii Dauda umebugi

Mkuu ndo kick boxing ilivyo ,ni mchezo wa hatari sana ,mara kibao yaani wanapasuana na wengine wanaendelea kusafisha carpet ,kukabana hadi kukosa punzi ,ni mchezo hatari
Kickboxing ni cha mtoto kwa Martial Arts (MMA)
 
Fight nzuri itakuwa kati ya Mwakinyo vs Mfaume Mfaume..ila naona Mwakinyo atatoka nduki tu
 
Nimeona tangazo kupitia Azam TV. Nikabaki nacheka tu.

Nakumbuka siku wanasign pambano, Dullah alikuwa sereouz. Jamaa alishauri promoter atoe laki2 kwny pesa yake ili ikitokea Kiduku amemaliza Round basi apewe.

Bda ya hapo n maigizo tu. Yani Shafii anawafundisha jins ya Ku-Act paka radha Inapotea.

Hata siku ya pambano la Mwakinyo utaona jinsi walivyoigiza pale jukwaani.

Ngumi zinahitaj uhalisia . Hata Kaoneka analijua hili. Ila kwa kinachoendelea naona maigizo yanazidi Sana..

Yote kwa yote Mashabiki tunategemea pambano zuri na bora.

Vijana wapasuane. Damu zienee

Sio mtuletee send off km za juzi MLImani. Mechi12 hakuna aliyepasuliwa hata mmoja.. Hiyo si harusi jamani.

Kingine pambano lisiwe live kwa TV.

Huyo Kaoneka ni mpuuzi tu.
 
Wewe ngumi huzijui kabisa ni shabiki maandazi. Eti hawajapasuana
 
Boxing ni vita kabisa, ukifanya mchezo unakufa.
 
Mkuu ndo kick boxing ilivyo ,ni mchezo wa hatari sana ,mara kibao yaani wanapasuana na wengine wanaendelea kusafisha carpet ,kukabana hadi kukosa punzi ,ni mchezo hatari
Tobaaaaaah lol
 
Nilichokiona Jana taifa

Mascreen ya ulingoni yalikuwa mabovu.. Yani ni upuuzi screen zinonesha chenga na vitu visivyoeleweka

Hapakuwa na mtu wa kuonesha round. Yani tulikuwa tunaburuzwa tu. Ukigeuza shingo unakuta round eti zimeisha..

Mapoliccm yalikuwa yanatumia nguvu kupita kiasi viwanjani. Yani matumizi ya marungu km vile wametumwa kukamata majambazi. Poor policcm

Vijana waliotoa kingilio cha 5000 kuwekwa jukwaani. Yani eti kaukumbi kapo katikati ya uwanja halafu watu wamewekwa majukwaani kuleee.. Vijana walikuwa wakilalamika muda wotee kuwa hawaoni..

Nitaendelea
 
Back
Top Bottom