Utambulisho wa game ya Twaha Kiduku Vs Dulla Mbabe umekaa kibongo movie sana, Shafii Dauda umebugi

Mkuu ndo kick boxing ilivyo ,ni mchezo wa hatari sana ,mara kibao yaani wanapasuana na wengine wanaendelea kusafisha carpet ,kukabana hadi kukosa punzi ,ni mchezo hatari
Kickboxing ni cha mtoto kwa Martial Arts (MMA)
 
Fight nzuri itakuwa kati ya Mwakinyo vs Mfaume Mfaume..ila naona Mwakinyo atatoka nduki tu
 
Huyo Kaoneka ni mpuuzi tu.
 
Huyo Kaoneka ni mpuuzi tu.
 
Wewe ngumi huzijui kabisa ni shabiki maandazi. Eti hawajapasuana
 
Boxing ni vita kabisa, ukifanya mchezo unakufa.
 
Mkuu ndo kick boxing ilivyo ,ni mchezo wa hatari sana ,mara kibao yaani wanapasuana na wengine wanaendelea kusafisha carpet ,kukabana hadi kukosa punzi ,ni mchezo hatari
Tobaaaaaah lol
 
Nilichokiona Jana taifa

Mascreen ya ulingoni yalikuwa mabovu.. Yani ni upuuzi screen zinonesha chenga na vitu visivyoeleweka

Hapakuwa na mtu wa kuonesha round. Yani tulikuwa tunaburuzwa tu. Ukigeuza shingo unakuta round eti zimeisha..

Mapoliccm yalikuwa yanatumia nguvu kupita kiasi viwanjani. Yani matumizi ya marungu km vile wametumwa kukamata majambazi. Poor policcm

Vijana waliotoa kingilio cha 5000 kuwekwa jukwaani. Yani eti kaukumbi kapo katikati ya uwanja halafu watu wamewekwa majukwaani kuleee.. Vijana walikuwa wakilalamika muda wotee kuwa hawaoni..

Nitaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…