Utambulisho wa Kassim Majaliwa waibua Shangwe Kwenye Uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali 2026/27

Utambulisho wa Kassim Majaliwa waibua Shangwe Kwenye Uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali 2026/27

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, alikuwa miongoni mwa viongozi waliohudhuria kikao cha Bunge kusikiliza uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

 
Haisaidii chochote..... na haipunguzi gharama za maisha !
Ujinga na upumbavu plus uchawa tu kwa hao wazenge walopiga makofi /shangwe!
 
Ni kwa vile alikuwa bungeni kama wao hivi karibuni. Miaka 10 ijayo, wabunge wengine wakiwa wapya, akiingia bungeni na kutambulishwa, hakuna atakayekuja na shobo naye.

Angalia the likes of Sumaye, Pinda, Malechela wanapoingia bungeni miaka ya sasa na wakatambulishwa.
 
Kumejaa majitu manafiki sana humoo!!
 
Back
Top Bottom