Wewe ni KE au ni ME?Nina miaka 26 nipo HIV/AIDS positive na bado cjaolewa wala cna mtoto naish A town
ME anaolewa??Wewe ni KE au ni ME?
me nchekesha ha ha haaa!ME anaolewa??
Maswali ya kukurupuka hayo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nina miaka 52,nina watoto12
Ujue bado hujajipambanua!Hii inaitwa "Ustake N'cheke"
Hahahaha usinifanyie hivyo jamani.Ujue bado hujajipambanua!
Teh teh teh,me nchekesha ha ha haaa!
nina miaka kadhaa nimeoa wake kadhaa na nina watoto kadhaa
kumbe wakazi wa chuga tupo wengi hapa ahaa!Nina miaka 26 nipo HIV/AIDS positive na bado cjaolewa wala cna mtoto naish A town
Nina miaka 55 nina mchumba
JF imeingiliwa , nani kauliza hayo? Read the heading of the post! Oh eti mtihani mgumu , kwa hivi lazima ufeli tu mtihani by not following the instructions!Nina miaka 26 nipo HIV/AIDS positive na bado cjaolewa wala cna mtoto naish A town
MtajeKuna mtu nasubiri utambulisho wake....