Utambulisho

Utambulisho

Barieda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
1,808
Reaction score
2,470
Habarini members wote wa jukwaa pendwa, mi mgeni, nimejileta mwenyewe kwa hiyari yangu mwenyewe bila kushawishiwa na mtu yeyote naomba nikaribishwe.
 
Unatumia JF App (kama ndio mpya au ya zamani?)au browser?
 
Usije kutingoza tu humu maana ninyi mnaomaliza vyuo mnafujo sana

Karibu lkn
 
Back
Top Bottom