Utambulisho

Utambulisho

Karibu sana Jamiiforums tunahitaji mawazo yako
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT............
 
Karibu mchezoni. Ukisikia mdundo wa ngoma lazima ucheze.

Angalizo tu majukwaa mawili; MMU na lile la SIASA. Wanasema usiwe nayo siliazi sanaaaa.
 
Back
Top Bottom