Jisikie upo nyumbaniMmmh
SawaMmmh
AhsanteKaribu mgeni
SawaWell,pamoja mkuu tutakutana kwenye mada mbalimbali
Haswaaa zinapatikana PMKwani pm ndo kunapatikana simu???
I love my phone
I don't think so... Simu zinapatikana kwenye maduka ya simu... Na sidhan kama ya kwako uliipatia pmHaswaaa zinapatikana PM
By the way we ni ME au KE?
Sijawahi badili ID[emoji723] yako ya zamani ni ipi?
KARIBU SANA!!!Mimi naitwa mtoto wa baba... Ni mgeni hapa jf naomba mnipokee. Ahsante
Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
Ahsante ledadaKaribu mtoto wa baba
AhsanteKARIBU SANA!!!
Hebu nikumbushe id yako ya zamani mkuuKwani pm ndo kunapatikana simu???
I love my phone
Sina ID ya zaman mkuu...hii ndiyo ID yanguHebu nikumbushe id yako ya zamani mkuu
Jinsia yako mkuu?Sina ID ya zaman mkuu...hii ndiyo ID yangu
KeJinsia yako mkuu?
Unapajua pm maana na ratibu vitu vyote vya pm
Yeah napajuaUnapajua pm maana na ratibu vitu vyote vya pm
Unaratibu nn hasa??????Unapajua pm maana na ratibu vitu vyote vya pm