Utambulisho

Utambulisho

Mmh sijawahi jua kama ana avatar Kama yangu...anyway maybe zimefanana tu

Ahsante kwa ukaribisho
Maudhui yake, kama unamfatilia vizuri kuna kipindi aliweka avatar inayoshabihiana na hiyo.

Asante na karibu sana, tutakutana kwenye mijadala mbalimbali huko, ila mimi binafsi sina la ziada kwako zaidi ya kukukaribisha.
 
Mmh sijawahi jua kama ana avatar Kama yangu...anyway maybe zimefanana tu

Ahsante kwa ukaribisho

Kuna kitu kinaitwa coincidence, kwa sababu ya kumfatilia mtu sana (kama ulivyosema kwa Demiss), unajikuta kuna vitu unaweza kukopi bila hata kukumbuka au kujua kama umefanya sawa na alichowahi kufanya.

BTW avatar za namna hiyo ni nyingi humu ndani, kwa hiyo ni kawaida.

Hapo nimejibana sana kukusifu kwamba una lips nzuri maana mchumba wangu akiona kitawaka humu.
 
You're right but honestly sijawahi copy avatar ya member yeyote humu

Ahsante
Mwambie mchumba wako asiwe na hofu
 
Jukwaa la Dino uliingiaje wakati member aliyeruhusiwa ndio anaingia kule?
Elimu yako ni ipi?
Ooh me huwa nakutana na nyuzi tu za masuala ya dini though huwa siyo zote naweza zisoma maana kuna nyingine kabla sijajiunga humu nilikuwa nikifungua zinagoma inahitajika ni-log in kwanza.

Elimu degree

Ahsante.
 
Back
Top Bottom