Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Avatar mbona n pic yangu mkuu?
Maudhui yake, kama unamfatilia vizuri kuna kipindi aliweka avatar inayoshabihiana na hiyo.
Asante na karibu sana, tutakutana kwenye mijadala mbalimbali huko, ila mimi binafsi sina la ziada kwako zaidi ya kukukaribisha.
Mmh sijawahi jua kama ana avatar Kama yangu...anyway maybe zimefanana tu
Ahsante kwa ukaribisho
You're right but honestly sijawahi copy avatar ya member yeyote humuKuna kitu kinaitwa coincidence, kwa sababu ya kumfatilia mtu sana (kama ulivyosema kwa Demiss), unajikuta kuna vitu unaweza kukopi bila hata kukumbuka au kujua kama umefanya sawa na alichowahi kufanya.
BTW avatar za namna hiyo ni nyingi humu ndani, kwa hiyo ni kawaida.
Hapo nimejibana sana kukusifu kwamba una lips nzuri maana mchumba wangu akiona kitawaka humu.
AhsanteMtoto wa Baba. Karibu sana jf.
Ooh me huwa nakutana na nyuzi tu za masuala ya dini though huwa siyo zote naweza zisoma maana kuna nyingine kabla sijajiunga humu nilikuwa nikifungua zinagoma inahitajika ni-log in kwanza.Jukwaa la Dino uliingiaje wakati member aliyeruhusiwa ndio anaingia kule?
Elimu yako ni ipi?
Hahahahahahaha eti chumbanikarbu sanaa. jisikie upo chumbani kwako
You're right but honestly sijawahi copy avatar ya member yeyote humu
Ahsante
Mwambie mchumba wako asiwe na hofu
Usijali, karibu sana.
Naomba uwe rafikiOoh me huwa nakutana na nyuzi tu za masuala ya dini though huwa siyo zote naweza zisoma maana kuna nyingine kabla sijajiunga humu nilikuwa nikifungua zinagoma inahitajika ni-log in kwanza.
Elimu degree
Ahsante.
Am impressed with you...Sawa...
Karibu
HahahahahahahaHumu kuna PREDATORS & VULTURES washahisi we ni wa Jinsia ya KIKE??? DADAAAAAAADEKI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
AhsanteKaribu JF
Yeah ni picha yanguSema kweli kama ni picha yako [emoji41][emoji41][emoji41]
Hahahahahahahh wageni hawajui "pm" mkuumkuu njoo pm uwe hata rafiki yangu tu.