Utambulisho

Ms Fatma

Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
16
Reaction score
19
Habari wana-Jamii Forums Naitwa Fatma.

Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza na kujadili mambo mbali mbali yanahusu fedha, uwekezaji na uchumi. Mbali na hilo napendelea pia mijadala inayohusu maswala ya kijinsia na pia ni mpenzi wa kusoma vitabu. Napendelea mijadala inayolenga kufunzana.


Asanteni sana.
 
Karibu sana Miss Fatuma, tutajifunza mengi kutoka kwako, jisikie huru kuwa humu
 
Karibu sana JF @ms fatma
Jr[emoji769]
 
Karibu sana..!
bi fatma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…