capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,363
- 121,260
Karibu Fatma.Asante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu Fatma.Asante.
Ms Fatma.Habari wana-Jamii Forums Naitwa Fatma.
Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza na kujadili mambo mbali mbali yanahusu fedha, uwekezaji na uchumi. Mbali na hilo napendelea pia mijadala inayohusu maswala ya kijinsia na pia ni mpenzi wa kusoma vitabu. Napendelea mijadala inayolenga kufunzana.
Asanteni sana.
Sawa karibuHabari wana-Jamii Forums Naitwa Fatma.