Karibu sana naitwa Castr ni mwalimu wa kiingereza na kiswahili. Sijui mwenzangu unajishughulisha na nini?Habari jamiiforum. .!! Mimi ni mgeni humu nashukuru rasmi nimeweza kujiunga jamii forum kwenye kambi kuu ya maarifa na burudani. Asanten
Karibu mgeni sebulen hadi chumbani ,Habari jamiiforum. .!! Mimi ni mgeni humu nashukuru rasmi nimeweza kujiunga jamii forum kwenye kambi kuu ya maarifa na burudani. Asanten
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.Habari jamiiforum. .!! Mimi ni mgeni humu nashukuru rasmi nimeweza kujiunga jamii forum kwenye kambi kuu ya maarifa na burudani. Asanten
AsanteKarib
Asante mkuu.Karibu mkuu