kush mafichoni
Member
- Aug 6, 2023
- 31
- 20
Ii hapa ni mgeniView attachment 2730565
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28]ndio ni mgeni nduguUna uhakika wewe ni mgeni mkuu?
Asante nashukuluKaribu
Mbn nishawekambona umeombwa uweke picha nabado huweki?wee mgeni kweli?
Ii apaTafadhali weka picha nikuverify kwenye mfumo
Fanya haraka ndugu mgeni .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
tushaa kuunga kwenye mfumo.ndugu injinia unapatikana mkoa Gani?
Aisee.....
Pwani lufijitushaa kuunga kwenye mfumo.ndugu injinia unapatikana mkoa Gani?
Asantee sanaaKaribu sana JamiiForums...
Asantee sanaaKaribu mgeni, ila waliokuambia uweke picha za kwao hawajaweka ila karibu
Asantee sanaaaKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.