utambulisho

utambulisho

Killerman

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
326
Reaction score
183
Hodiiiiii janvini, ni mgeni jamani, naomba mnipokee na kusamehewa kama ntakosea, mwanaume by jinsia, m2 wa kusini. Ila naamini janvi ni la watanzania wote... Asanteni.
 
karibu n'jooomba,chi umekuja na ming'oko au ndo umeichahau Kuchini?bha
 
Karib sana mkuu, na asante kwa kujitambulisha kikamilifu
 
karibu n'jooomba,chi umekuja na ming'oko au ndo umeichahau Kuchini?bha
nimekuja nayo kaka, uchiofu ntakuletea kadili chiku chinavyokwenda... bhaaaa bwanaweweeee
 
Back
Top Bottom