Wa Mjengoni
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 480
- 128
Salamu zenu wote wa jamvini, napenda kutoa utambulisho kuwa mimi ni Wa mjengoni kule kule zinapozaliwa sheria.Nimekuwa natembelea humu kwa muda mrefu bila kuwa member sasa nadhani nitakuwa karibu zaidi nanyi. Asanteni.