Utambulisho

Utambulisho

Wa Mjengoni

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
480
Reaction score
128
Salamu zenu wote wa jamvini, napenda kutoa utambulisho kuwa mimi ni Wa mjengoni kule kule zinapozaliwa sheria.Nimekuwa natembelea humu kwa muda mrefu bila kuwa member sasa nadhani nitakuwa karibu zaidi nanyi. Asanteni.
icon7.png
 
Mh at last nampata jirani!

Wa mjengoni napatikana Idodomya pia mara kwa mara! karibu sana
 
Back
Top Bottom