Wa Mjengoni JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 480 Reaction score 128 May 8, 2010 #1 Salamu zenu wote wa jamvini, napenda kutoa utambulisho kuwa mimi ni Wa mjengoni kule kule zinapozaliwa sheria.Nimekuwa natembelea humu kwa muda mrefu bila kuwa member sasa nadhani nitakuwa karibu zaidi nanyi. Asanteni.
Salamu zenu wote wa jamvini, napenda kutoa utambulisho kuwa mimi ni Wa mjengoni kule kule zinapozaliwa sheria.Nimekuwa natembelea humu kwa muda mrefu bila kuwa member sasa nadhani nitakuwa karibu zaidi nanyi. Asanteni.
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 May 10, 2010 #2 Mh at last nampata jirani! Wa mjengoni napatikana Idodomya pia mara kwa mara! karibu sana