nguruseboy
New Member
- Apr 1, 2014
- 2
- 0
Karibu sana mkuu...humu kuna watu wa aina zote kuanzia walalahoi , matajiri, vichaa, wenye akili nyingi, mbumbumbu, wachungaji, masheikh hadi mawaziri. Sina hakika kama Mhe. Rais yupo ila inawezekana. Kazi kwako
Hujamwambia escrow pia wanapatikana
Karibu sana mkuu...humu kuna watu wa aina zote kuanzia walalahoi , matajiri, vichaa, wenye akili nyingi, mbumbumbu, wachungaji, masheikh hadi mawaziri. Sina hakika kama Mhe. Rais yupo ila inawezekana. Kazi kwako
Karibu sana JF mjukuu..........