Ndugu zangu JF naomba kujua hili tunda kwa kiswahili au kwa kiingereza linaitwaje?Kisukuma wanaita Ng'wicha.
Inasemekana Tunda hili likiwa bado changa ukilichanja na kiwembe kisha ukachanja dushelele lako nakupaka damu yako kwa hilo tunda basi mzigo wako utakuwa kinyama kadri tunda hilo linavokuwa kubwa.
Wasomi wa mimea hasa kutoka SUA na kwingineko nijuzeni tunda hilo linaitwa vipi ili nifatilie matumizi yake katika google