G gelevahekejr Senior Member Joined Feb 24, 2014 Posts 120 Reaction score 16 Oct 31, 2014 #1 Poleni na job jamani mm mtanzania mwenzenu nataka kuanza kufanya kazi ya kutafuta madini naombeni kujua nitatambuaje hii ni almasi, zahabu, quartz namengine natanguliza shukuran kwenu kwetu yali wahi pimwa nakupatikana almas na dhahabu.
Poleni na job jamani mm mtanzania mwenzenu nataka kuanza kufanya kazi ya kutafuta madini naombeni kujua nitatambuaje hii ni almasi, zahabu, quartz namengine natanguliza shukuran kwenu kwetu yali wahi pimwa nakupatikana almas na dhahabu.
K kdany Senior Member Joined Jul 20, 2012 Posts 149 Reaction score 25 Nov 2, 2014 #2 unataka kununua mkuu..njoo pm tubonge